Ufafanuzi wa mzoga katika Kiswahili

mzoga

nominoPlural mizoga

  • 1

    mwili wa mnyama aliyekufa.

    nyamafu, kipindi

  • 2

    mwili wa mtu aliyeuliwa katika mazingira ambayo siyo ya kawaida.

    kimba, jifu, kaputi, maiti

Matamshi

mzoga

/mzɔga/