Ufafanuzi wa mzunguko katika Kiswahili

mzunguko

nomino

  • 1

    mwendo unaofanya duara.

    mzingo, mviringo, duara

Matamshi

mzunguko

/mzungukÉ”/