Ufafanuzi wa mzururaji katika Kiswahili

mzururaji

nominoPlural wazururaji

  • 1

    mtu anayekwenda bila ya kuwa na mahali maalumu anakokwenda.

  • 2

    mtu anayeacha kufanya kazi na badala yake akawa anapoteza wakati kwa kwenda huku na huko.

Matamshi

mzururaji

/mzururaʄi/