Ufafanuzi msingi wa na katika Kiswahili

: na1na2

na1

kiunganishi

  • 1

    neno linalotumika kuunganisha maneno katika tungo.

    ‘Baba na mama’

Matamshi

na

/na/

Ufafanuzi msingi wa na katika Kiswahili

: na1na2

na2

kihusishi

  • 1

    neno linalotumiwa kuonyesha uhusiano wa maneno au vifungu vya maneno katika tungo.

    ‘Amekaa karibu na mjomba’

Matamshi

na

/na/