Ufafanuzi wa nabihi katika Kiswahili

nabihi

kivumishi

  • 1

    -enye kuwa tayari wakati wowote.

    ‘Ali ni mtu nabihi’

Asili

Kar

Matamshi

nabihi

/nabihi/