Ufafanuzi wa nadharia katika Kiswahili

nadharia

nominoPlural nadharia

  • 1

    mawazo, maelezo au mwongozo uliopangwa ili kusaidia kueleza, kutatua au kutekeleza jambo fulani.

Asili

Kar

Matamshi

nadharia

/naðarija/