Ufafanuzi wa nadhariatete katika Kiswahili

nadhariatete

nomino

  • 1

    wazo linalotokana na ukweli unaojulikana ambalo hutumiwa kujengea hoja.

Asili

Kar

Matamshi

nadhariatete

/naðarijatɛtɛ/