Ufafanuzi wa nadhifu katika Kiswahili

nadhifu

kivumishi

  • 1

    -enye kupendeza.

    ‘Nyumba yake ni nadhifu sana’
    safi

Asili

Kar

Matamshi

nadhifu

/naðifu/