Ufafanuzi wa nadhiri katika Kiswahili

nadhiri

nomino

  • 1

    ahadi aitoayo mtu, agh. kwa Mungu, kuwa atafanya jambo fulani pindi akikipata anachokitafuta.

Asili

Kar

Matamshi

nadhiri

/naĆ°iri/