Ufafanuzi msingi wa nadi katika Kiswahili

: nadi1nadi2

nadi1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  toa tangazo kwa sauti kubwa.

 • 2

  tamka bei ya kitu katika mnada.

Asili

Kar

Matamshi

nadi

/nadi/

Ufafanuzi msingi wa nadi katika Kiswahili

: nadi1nadi2

nadi2

nominoPlural nadi

 • 1

  nyumba au jengo ambamo watu hukaa kuzungumza au kupumzika.

  klabu

Matamshi

nadi

/nadi/