Ufafanuzi wa nafidhi katika Kiswahili

nafidhi

kitenzi elekezi

  • 1

    tekeleza jambo lililokwisha kuamuliwa au kukubalika.

Asili

Kar

Matamshi

nafidhi

/nafiĆ°i/