Ufafanuzi wa nafsi katika Kiswahili

nafsi

nominoPlural nafsi

 • 1

  ‘Nafsi chungu nzima zilikufa vitani’

 • 2

  mwenyewe.

 • 3

  kitu chenye umbo kama yai kilichoko mahali pa kizazi katika tumbo la mwanamke.

  ‘Ameshuka nafsi’

 • 4

  kiini au dhati ya jambo au kitu.

  ‘Kwa nafsi yake jambo hili si zuri’

Asili

Kar

Matamshi

nafsi

/nafsi/