Ufafanuzi wa nafuu katika Kiswahili

nafuu

nomino

  • 1

    hali ya kutoleta uzito au ugumu.

    wepesi, urahisi

  • 2

    (kwa mgonjwa) ahueni, hujambo, afadhali, shufaa, tahafifu.

    ‘Amepata nafuu’

Asili

Kar

Matamshi

nafuu

/nafu:/