Ufafanuzi msingi wa nahau katika Kiswahili

: nahau1nahau2

nahau1

nomino

  • 1

    fungu la maneno lenye maana maalumu isiyotokana na maana za kawaida za maneno hayo k.m. ‘Kula mwata’ au ‘Tia chumvi’.

Asili

Kar

Matamshi

nahau

/nahawu/

Ufafanuzi msingi wa nahau katika Kiswahili

: nahau1nahau2

nahau2

nomino

Asili

Kar

Matamshi

nahau

/nahawu/