Ufafanuzi wa nakala katika Kiswahili

nakala

nominoPlural nakala

  • 1

    kitu k.v. maandishi, mchoro au picha kilichonakiliwa.

    ‘Kaninunulie nakala mbili za gazeti la leo’
    kopi, nuskha

Asili

Kar

Matamshi

nakala

/nakala/