Ufafanuzi wa nakili katika Kiswahili

nakili

kitenzi elekezi

  • 1

    fuatisha au toa kivuli cha mchoro au maandishi kama yalivyo.

    kopi

Asili

Kar

Matamshi

nakili

/nakili/