Ufafanuzi wa Nakiri katika Kiswahili

Nakiri

nominoPlural Nakiri

Kidini
  • 1

    Kidini
    mmojawapo wa malaika wawili ambao kulingana na imani ya dini ya Kiislamu huwauliza maswali maiti kaburini.

Asili

Kar

Matamshi

Nakiri

/nakiri/