Ufafanuzi msingi wa nakshi katika Kiswahili

: nakshi1nakshi2

nakshi1

nominoPlural nakshi

  • 1

    urembo wa kuchora, kutarizi au kuchonga.

    kazi, chapa

Asili

Kar

Matamshi

nakshi

/nak∫i/

Ufafanuzi msingi wa nakshi katika Kiswahili

: nakshi1nakshi2

nakshi2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    tia urembo kwa kuchora, kutarizi au kwa kuchonga.

    ‘Milango ya Ikulu imenakshiwa vizuri sana’

Asili

Kar

Matamshi

nakshi

/nak∫i/