Ufafanuzi wa namu katika Kiswahili

namu

nominoPlural namu

  • 1

    kokwa za mkomwe zitumiwazo kuchezea bao.

    kete, komwe

Matamshi

namu

/namu/