Ufafanuzi wa namua katika Kiswahili

namua

kitenzi elekezi~ana, ~lia, ~liana, ~lika, ~lisha, ~liwa

  • 1

    okoa komwe katika mchezo wa bao ili zisiliwe na mshindani wako.

  • 2

    toa au ondoa kitu kilichoshikwa k.v. kwenye mtego.

Matamshi

namua

/namuwa/