Ufafanuzi wa nana katika Kiswahili

nana

nomino

  • 1

    neno la heshima linalotajwa badala au kabla ya jina la mwanamke.

    ‘Nana Fatuma’

Matamshi

nana

/nana/