Ufafanuzi wa nanasi katika Kiswahili

nanasi

nominoPlural mananasi

  • 1

    tunda kubwa lenye umbo la yai na ganda lenye mibamiba, lina kitita cha majani juu, yenye miba nchani.

Asili

Kaj

Matamshi

nanasi

/nanasi/