Ufafanuzi wa nang’anika katika Kiswahili

nang’anika

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    ng’aa kama kitu kilichopakwa mafuta; mwekamweka kwa usafi.

    ng’ara, nyeka, nyinyirika

Matamshi

nang’anika

/naŋanika/