Ufafanuzi wa nani katika Kiswahili

nani

kiwakilishi

  • 1

    neno litumikalo kumwuliza mtu jina au cheo; anaitwaje; yupi.

    ‘Ni nani anayeitwa?’

Matamshi

nani

/nani/