Ufafanuzi msingi wa nasibu katika Kiswahili

: nasibu1nasibu2

nasibu1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    tambua mtu kuwa ni wa ukoo fulani.

Asili

Kar

Matamshi

nasibu

/nasibu/

Ufafanuzi msingi wa nasibu katika Kiswahili

: nasibu1nasibu2

nasibu2

nominoPlural nasibu

  • 1

    jambo, agh. jema, linalotokea bila ya kutazamiwa.

    ‘Kapata bahati nasibu’
    bahati

Asili

Kar

Matamshi

nasibu

/nasibu/