Ufafanuzi wa nasihi katika Kiswahili

nasihi

kitenzi elekezi

  • 1

    toa mashauri mema; toa mawaidha au mwongozo mwema kwa mtu au watu.

  • 2

    taka radhi.

    bembeleza, sihi

Asili

Kar

Matamshi

nasihi

/nasihi/