Ufafanuzi wa nasua katika Kiswahili

nasua

kitenzi elekezi

  • 1

    ondoa au toa mtegoni kitu kilichonaswa.

Matamshi

nasua

/nasuwa/