Ufafanuzi wa nata katika Kiswahili

nata

kitenzi elekezi

  • 1

    shika na gandaganda k.v. inavyoshika gundi au ulimbo.

    gandama, shika, jamidi, ganda

Matamshi

nata

/nata/