Ufafanuzi wa nathari katika Kiswahili

nathari

nominoPlural nathari

  • 1

    maandishi ya moja kwa moja.

  • 2

    maandishi ya kawaida k.v. insha, hadithi au tamthilia.

Asili

Kar

Matamshi

nathari

/naθari/