Ufafanuzi wa natija katika Kiswahili

natija

nominoPlural natija

  • 1

    matokeo yenye faida.

    mavuno, tija

Asili

Kar

Matamshi

natija

/natiʄa/