Ufafanuzi wa ndago katika Kiswahili

ndago

nominoPlural ndago

  • 1

    nyasi zinazofanana na mipunga zilizo ngumu sana na zenye mizizi kama mbigili.

Matamshi

ndago

/ndagɔ/