Ufafanuzi wa ndara katika Kiswahili

ndara

nomino

  • 1

    kiatu, agh. cha ngozi au plastiki chenye kanda mbili kisichokuwa na ukanda wa kuzuilia kwenye kisigino.

    slipa, lapa

Matamshi

ndara

/ndara/