Ufafanuzi wa ndaraza katika Kiswahili

ndaraza

nomino

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    sehemu katika bahari yenye maji kidogo ambapo vyombo haviwezi kupita.

Matamshi

ndaraza

/ndaraza/