Ufafanuzi msingi wa ndege katika Kiswahili

: ndege1ndege2

ndege1

nominoPlural ndege

 • 1

  kiumbe mwenye mabawa na manyoya ambaye agh. huruka angani.

  methali ‘Ndege mjanja hunaswa na tundu bovu’
  nyuni

Ufafanuzi msingi wa ndege katika Kiswahili

: ndege1ndege2

ndege2

nominoPlural ndege

 • 1

  chombo cha angani cha kusafiria abiria au kusafirishia mizigo, chenye injini na mabawa.

  eropleni

Matamshi

ndege

/ndɛgɛ/