Ufafanuzi wa ndegechai katika Kiswahili

ndegechai

nomino

  • 1

    ndege wa jamii ya korongo, mwenye shungi lenye rangi nyekundu au manjano utosini.

Matamshi

ndegechai

/ndɛgɛtʃaji/