Ufafanuzi wa ndewe katika Kiswahili

ndewe

nominoPlural ndewe

  • 1

    sehemu ya chini ya sikio; ncha ya sikio.

  • 2

    tundu lililotogwa chini ya sikio ili kuvalia mapambo k.v. herini.

Matamshi

ndewe

/ndɛwɛ/