Ufafanuzi wa ndezi katika Kiswahili

ndezi

nomino

  • 1

    mnyama wa mwituni mwenye umbo kama la panya ambaye ni mkubwa kuliko paka.

Matamshi

ndezi

/ndɛzi/