Ufafanuzi wa ndimu katika Kiswahili

ndimu

nominoPlural ndimu

  • 1

    tunda dogo la jamii ya machungwa lenye ugwadu, agh. hutumiwa kuwa ni kiungo katika chakula.

Asili

Khi

Matamshi

ndimu

/ndimu/