Ufafanuzi wa ndiyo! katika Kiswahili

ndiyo!

kiingizi

  • 1

    neno linalotumika katika kukubali.

  • 2

    sawa!, naam!.

    ehee!, barabara!, hasa!, amba!

Matamshi

ndiyo!

/ndiyɔ/