Ufafanuzi wa ndoana katika Kiswahili

ndoana, ndoano

nominoPlural ndoana

  • 1

    kipande chembamba cha chuma au waya kilichopindika sehemu ya nchani ambacho hufungwa mwisho wa mshipi ili kuvulia samaki.

    kioo

Matamshi

ndoana

/ndɔwana/