Ufafanuzi wa ndongoa katika Kiswahili

ndongoa

nominoPlural ndongoa

  • 1

    ng’ombe au mbuzi anayechinjwa kabla ya mazishi kama sadaka kwa ajili ya aliyekufa.

Matamshi

ndongoa

/ndɔngɔwa/