Ufafanuzi wa ndorobo katika Kiswahili

ndorobo

nominoPlural ndorobo

  • 1

    mdudu anayefanana na nzi lakini mkubwa zaidi na anayeuma mifugo k.v. ng’ombe au mbuzi.

    chafuo, mbung’o, pange

Matamshi

ndorobo

/ndɔrɔbɔ/