Ufafanuzi wa ndui katika Kiswahili

ndui

nominoPlural ndui

  • 1

    ugonjwa wa kuambukiza unaofanana na surua, hutokeza upele mwingi wenye majimaji na usaha na kuzama sana mwilini na huenea upesi kama tetekuwanga.

  • 2

    ugonjwa huu ulikomeshwa duniani kote mwaka 1980.

Matamshi

ndui

/nduwi/