Ufafanuzi wa ndumakuwili katika Kiswahili

ndumakuwili, ndumilakuwili

nomino

  • 1

    kiumbe afananaye na nyoka, husemwa kuwa ana vichwa viwili.

  • 2

    mtu ajifanyaye mwema na rafiki, kumbe yu mwovu.

    kauleni