Ufafanuzi msingi wa ndume katika Kiswahili

: ndume1ndume2

ndume1

nomino

  • 1

    mwanamume au mnyama dume mwenye nguvu sana.

Matamshi

ndume

/ndumÉ›/

Ufafanuzi msingi wa ndume katika Kiswahili

: ndume1ndume2

ndume2

nomino

  • 1

    mpunga unaobakia na maganda baada ya kukobolewa.

    chuya

Matamshi

ndume

/ndumÉ›/