Ufafanuzi msingi wa ndundu katika Kiswahili

: ndundu1ndundu2

ndundu1

nomino

  • 1

    sauti itokanayo na utwangaji au udundaji wa kinu na mchi.

Matamshi

ndundu

/ndundu/

Ufafanuzi msingi wa ndundu katika Kiswahili

: ndundu1ndundu2

ndundu2

nomino

  • 1

    malipo ya mtwangaji.

Matamshi

ndundu

/ndundu/