Ufafanuzi msingi wa nduni katika Kiswahili

: nduni1nduni2

nduni1

nominoPlural nduni

  • 1

    jambo lisilokuwa la kawaida.

    muujiza

Matamshi

nduni

/nduni/

Ufafanuzi msingi wa nduni katika Kiswahili

: nduni1nduni2

nduni2

nominoPlural nduni

  • 1

    sifa maalumu ya kitu.

Matamshi

nduni

/nduni/