Ufafanuzi wa ndwele katika Kiswahili

ndwele

nominoPlural ndwele

  • 1

    ugonjwa wa aina yoyote umpatao binadamu.

Matamshi

ndwele

/ndwɛlɛ/