Ufafanuzi wa nega katika Kiswahili

nega

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha

  • 1

    kaa vizuri ili kutoa nafasi kwa kitu kingine.

    ‘Jinege nipite’
    pisha

Matamshi

nega

/nɛga/