Ufafanuzi wa nema katika Kiswahili

nema

kitenzi sielekezi

  • 1

    inama na kupeleka shingo kulia na kushoto kama mwari aliyebebwa wakati anapotolewa.

    inama

Matamshi

nema

/nɛma/